Posted By Posted On

Ni lini Man City watajifunza kwa makosa yao?

Kitu kibaya zaidi kuhusu anguko la Manchester City ni kwamba wametaka wenyewe, inaonekana kama hawajifunzi. Man City wakati wanatupwa nje ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Olympique Lyon, si muda mrefu umepita, Kevin De Bruyne alikiri “Mwaka mwingine, mambo yaleyale,” na inaonekana hakuna mabadiliko yoyote ndani ya klabu hiyo. Hilo lilitosha kuonesha uchambuzi wa De Bruyne kuwa kuna…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *