Posted By Posted On

NOTIFICATION YA HABARI IMEONDOLEWA, INGIA KATIKA APP ENDELEA KUPATA HABARI ZA YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Habari zitaendelea kuwepo kama kawaida, ila notification imeondolewa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza.

Ndio, kuanzia sasa hutoweza kupata notification ya habari katika simu yako, kuendelea kupata habari ingia moja kwa moja katika app ya Yanganews.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza.

Ahsante

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *