Posted By Posted On

Samatta ajaza uwanja Fenerbahce

MIAMBA ya soka la Uturuki, Fenerbahce imejizolea zaidi ya mashabiki wapya 80,000 kwenye mtandao wao wa Kijamii wa Instagram ndani ya siku nne tangu wapate saini ya Mbwana Samatta kutoka Aston Villa. Idadi hiyo ya wafuasi ni kubwa kuliko ile ya Uwanja wa nyumbani wa Fenerbahce, Sukru Saracoglu unaojaza mashabiki wapatao 50,509.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *