Posted By Posted On

SIMBA SC ILIVYOGAWA KADI KWA MASHABIKI WAKE LEO JIJINI DODOMA KUELEKEA MECHI NA JKT JUMAPILI

KLABU bingwa ya Tanzania, Simba leo imeendesha zoezi la kutoa kadi za mashabiki kwa wakazi wa Jiji la Dodoma kwenye vitongoji vya Saba Saba na Majengo.

Simba SC imeendesha zoezi hilo kuelekea mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania Jumapili Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *