Posted By Posted On

SPURS YATINGA ROBO FAINALI CARABAO CUP BAADA YA KUITOA CHELSEA KWA MATUTA


TIMU ya Tottenham Hotspur imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 1-1 usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Timo Werner alianza kuifungia Chelsea dakika ya 19, kabla ya Erik Lamela kusawazsha Tottenham dakka ya 83 na Mason Mount akakosa penalti muhmu na kupeleka Spurs Robo Fanal ya Carabao Cup
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *