Posted By Posted On

-“Wengi wanaisahau Ruvu Shooting kwenye ramani ya soka lakini ni moja ya timu ambayo inawatumia vizuri wazawa na wanacheza ule m…

-“Wengi wanaisahau Ruvu Shooting kwenye ramani ya soka lakini ni moja ya timu ambayo inawatumia vizuri wazawa na wanacheza ule mpira wa pasi nyingi mithili ya Barcelona.

-“Tumetoka kupata sare mbele ya Biashara United tunatambua kwamba ilikuwa mchezo mgumu kumalizana nao lakini tupo vizuri kwenye upande wa suala la kucheza mpira mzuri ndani ya uwanja ambao mashabiki wenyewe wanakubali.

-“Ukiwa ugenini unacheza kwa kujiamini, tulicheza na Mtibwa Sugar mchezo wa kwanza tulimiliki mpira tukashindwa kupata matokeo sasa mbele ya Dodoma Jiji tutafanya vizuri, mashabiki wajitokeze kuona namna tutakavyowapa burudani,”

🗣Afisa Habari Ruvu Shooting Masau Bwire.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *