Posted By Posted On

🗣️”Naongea kama MDAU,, Klabu ya Yanga wameupata wapi mkataba wa Morrison na Simba ? Mkataba wa Morrison na Simba, TFF na FIFA nd…

🗣️”Naongea kama MDAU,, Klabu ya Yanga wameupata wapi mkataba wa Morrison na Simba ? Mkataba wa Morrison na Simba, TFF na FIFA ndio wanaweza kuuona, Yanga wao wameupatia wapi ?”

“Yanga wanahangaika na mkataba wa Morrison ili iweje ? Wao walishashindwa kesi na Morrison, wanashindwa kuhangaika na masuala ya maana wanahangaika na mkataba wa Morrison,, AIBU sana”

Crescentius Magori Mshauri mkuu wa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba sc.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *