Posted By Posted On

“Farid alipewa ruhusu maalum baada ya kuugua Malaria, hata hivyo sasa hivi anaendelea vizuri. Mashabiki wasiwe na wasiwasi siku …

“Farid alipewa ruhusu maalum baada ya kuugua Malaria, hata hivyo sasa hivi anaendelea vizuri. Mashabiki wasiwe na wasiwasi siku siyo nyingi mtamuona kijana wenu uwanjani.

“Kwani mashabiki wanafahamu uwezo wa Farid na kikubwa wanatamani kumuona akiwepo uwanjani akiipambania timu yake ya Yanga katika msimu huu na tayari amesharudi kambini”.

Mwakalebela

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *