Posted By Posted On

Inadaiwa kuwa Huu ndiomkataba Kati ya Simba na Morrison ambao Yanga wanadai umesainiwa na upande mmoja ya Morisson peke yake. Y…

Inadaiwa kuwa Huu ndiomkataba Kati ya Simba na Morrison ambao Yanga wanadai umesainiwa na upande mmoja ya Morisson peke yake.

Yanga wadai Kuwa kwasababu TFF kupitia kwa kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji mwanzo waligundua Kuwa mkataba Kati Morisson na Yanga ulikuwa na mapungufu na hivyo Katika shauri hilo ikamliwa Kuwa Morisson ni mchezaji huru hivyo wanasimamia Katika kipengele hicho hicho cha sheria kwamba kwakuwa mkataa Kati Morrison na Simba una mapungufu na mapungufu yenyewe ni kwamba Mkataba wa umesainiwa na Morrison, Simba hawajasaini mkataba huo na sasahivi tayari dilisha la usajili limefungwa.

Yanga wameiomba TFF iwapoke Simba pointi ambazo Morisson ameicheze Simba Katika mechi za ligi kuu Tanzania na mchezaji afungiwe kwasababu tayari dirisha la usajili limefungwa mpaka hapo dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *