Posted By Posted On

King Kiki avunja ukimya

MKE wa mwimbaji mkongwe wa dansi nchini, Kikumbi Mwanza Mpango ‘King Kiki’ amewaomba Watanzania waendelee kumuombea mumewe ili afya yake itengemae, huku mwanamuziki huyo akivunja ukimya kwa kutamka maneno machache yenye ujumbe mzito.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *