Posted By Posted On

MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON 3-0, YATINGA ROBO FAINALI CARABAO

Wachezaji wa Manchester United wakimpongeza mwenzao, Paul Pogba (wa pili kulia) baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 80 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion usiku wa jana Uwanja wa Amex, kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Manchester United yalifungwa na Scott McTominay dakika ya 44 na Juan Mata dakika ya naΒ 73 na kwa ushindi huo Mashetani Wekundu wanatinga Robo FainaliΒ PICHA ZAIDI GONGA HAPA,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *