Manchester United, Ousmane Dembele ni suala la muda tu
MANCHESTER United imefikia hatua nzuri kukamilisha mchakato wa kuinasa saini ya kiungo wa Barcelona na timu ya taifa ya Ufaransa, Ousmane Dembele, 23, katika dirisha hili la usajili wa majira ya wachezaji.,Read More
Comments (0)