Posted By Posted On

Ndo hivyo, sababu ya Messi kufyumu kuuzwa kwa Suarez

 BARCELONA, HISPANIA. MOJA ya sababu zilizomfanya Lionel Messi kuwaambia mabosi wa Barcelona kwamba anataka kuachana na timu hiyo kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi ni kitendo cha kumwambia Luis Suarez aondoke. Suarez aliachana na Barcelona Jumatano iliyopita akiwa mchezaji namba tatu kwa kufunga mabao mengi kwenye kikosi hicho, ambapo alitumbukiza wavuni mabao 198 katika mechi 283.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *