Posted By Posted On

REAL MADRID YAICHAPA REAL VALLADOLID 1-0 BAO PEKEE LA VINICIUS


Mshambuliaji Vinicius Junior (kushoto) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Marco Asensio baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 65 ikiwalaza 1-0 Real Valladolid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini Madrid
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *