STERLING AIPELEKA MANCHESTER CITY ROBO FAINALI CARABAO CUP
Raheem Sterling akipongzwa na wachezaji baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 35 na 49 katika ushindi wa 3-0 wa Manchester City dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa 16 Bora Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao cup, wakati bao lingine llilifungwa na Ferran Torres dakika ya
65, na kwa ushindi huo wanakwenda Roboa Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
,
Comments (0)