Posted By Posted On

Tofauti ya Rodriguez wa Everton na wa Real Madrid..

Miongoni mwa nyota wapya walioingia EPL ni James Rodriguez. Ni mara yake ya kwanza kucheza Ligi hiyo. Tangu alipoanza kandanda amecheza Ligi za kwao Colombia kisha akaelekea Benfica nchini Ureno na baadaye Monaco ya Ufaransa. Real Madrid ilimsajili akiwa Monaco. Ni staa ambaye anafuatiliwa kwa ukaribu. Jina lake ni kubwa kuanzia mashindano ya ngazi ya klabu na timu za taifa. James ni nyota ambaye…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *