Posted By Posted On

ALOCHOSEMA NIYONZIMA KUELEKEA MECHI YA LIGI KUU DHIDI COASTAL UNION

Msomaji wa Yanganews Blog:Kuelekea mechi ya ligi kui dhidi ya Coastal Union, kiungo, Haruna Niyonzima amesema wamejiandaa vizuri kuhakikisha wanapambana kutafuta pointi tatu muhimu.

“Sio kazi nyepesi kupata ushindi ndani ya uwanja ila inahitaji maandalizi mazuri, tunachokifanya kwa sasa ni kuona tunakuwa na timu bora itakayotupa matokeo, tutapambana mbele ya Coastal Union kupata ushindi,” alisema Niyonzima.

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *