Posted By Posted On

Beki wa klabu ya Hoffenheim Kevin Akpoguma amethibutisha Kuwa ameamua kuchagua kuichezea timu ya Taifa ya Nigeria badala ya ti…

Beki wa klabu ya Hoffenheim Kevin Akpoguma amethibutisha Kuwa ameamua kuchagua kuichezea timu ya Taifa ya Nigeria badala ya timu ya Taifa ya Germany

“Najisikia fahari na nina mtazamo chanya, natazamia kuanza kuifuatilia na kuijua timu ya Taifa ya Nigeria ambayo ni asili yangu” alisema beki huyo

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *