Posted By Posted On

Dube, Kisu waipaisha Azam FC

Dar es Salaam. Mchango wa mshambuliaji, Prince Dube na kipa David Kisu umehusika kwa kiasi kikubwa kuifanya Azam FC isake kuvunja rekodi yake ya msimu wa 2015/2016, na kuweka mpya ambayo haijawahi kuiweka katika Ligi Kuu Tanzania Bara tangu ilipopanda daraja 2008.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *