Posted By Posted On

Kikosi cha Simba SC kimeanza safari ya kuelekea jijini Dodoma mchana huu ambapo kitapitia Morogoro walipoalikwa na Mashabiki wa …

Kikosi cha Simba SC kimeanza safari ya kuelekea jijini Dodoma mchana huu ambapo kitapitia Morogoro walipoalikwa na Mashabiki wa Mkoa huo na watalala hapo , kesho asubuhi safari ya kuelekea Dodoma itaendelea _

Simba imeondoka na kikosi chote akiwemo kiungo Mshambuliaji Benard Morisson ambaye sakata lake ya usajili limeibuliwa upya jana na uongozi wa Yanga na kuleta sintofahamu nyingine .

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *