Posted By Posted On

Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano na timu ya Mouloudia D’oujda ya nchini Morocco juu ya kumsajili mshambuliaji wao, Shaaban…

Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano na timu ya Mouloudia D’oujda ya nchini Morocco juu ya kumsajili mshambuliaji wao, Shaaban Chilunda.

Muda wowote kuanzia sasa, Chilunda atasafiri kuelekea nchini humo ili kukamilisha taratibu za mwisho za kujiunga na miamba hiyo ya soka Morocco.

Kila la kheri @chilunda43 ๐Ÿ‘‹๐Ÿป๐Ÿ‘‹๐Ÿป

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *