Posted By Posted On

Kwa Henderson, De Gea ajiandae

MANCHESTER, ENGLAND. WACHEZAJI wa zamani wa Manchester United, Andy Cole na Darren Fletcher wamekoshwa na kiwango kilichooneshwa na golikipa wa timu hiyo, Dean Henderson katika mchezo wa Carabao Cup dhidi ya  Brighton na kusema David de Gea itabidi apambane kwa kuwa anaweza kupoteza namba katika kikosi cha kwanza.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *