Posted By Posted On

“Mimi nafikiri Yanga wakijikita Katika kuwapa mashabiki wao majibu ya CAS sio kuhangaika na Morisson lakini pia wangejikita kuto…

“Mimi nafikiri Yanga wakijikita Katika kuwapa mashabiki wao majibu ya CAS sio kuhangaika na Morisson lakini pia wangejikita kutoa majawabu kwa mashabiki wao kwasababu mapokezi ya Airport haya reflect kile kinachonekana uwanjani, Simba tuta mprotect Morisson at any cost ndivyo tunavyofanya kwa wachezaji wetu

Wakati TFF wanalishughulikia hili tunaamini pia watakuja na majawabu, wenzetu waliupataje pataje ule mkataba ambao ni siri baina ya Simba, klabu, sana sana na TFF…sasa sijui tunaelekea wapi katika mpira wetu…

,” Ofisa habari wa Simba SC Haji Manara, akizungumzia tamko la Yanga juu ya mkataba wa Bernard Morrison na klabu ya Simba.

HajiManara

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *