PAPISS CISSE AJIUNGA NA FENERBAHCE KWA DAU LA PAUNI MILIONI 6
Mshambuliaji Msenegal, Papiss Cisse akiwa ameshika jezi ya Fenerbahce ya Uturuki baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 6 kutoka Newcastle United ya England na ataendelea kulipwa Pauni 40,000 kwa wiki
Comments (0)