Posted By Posted On

Photos from VIWANJANI LEO’s post

Pichani mashabiki kindakindaki wa klabu Yanga Jesca Manji na Osama, mashabiki hawa wote wawili wamefungiwa na bodi ya ligi Tanzania Bara (TPLB) mwaka mmoja kuingia viwanjani kwa kosa la kuwapiga na kuwavua jezi mashabiki wa Simba.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *