Safari ya mwisho ya Mabera ilianzia hapa
WAKATI mashabiki wa muziki wa dansi bado wanaendelea kuugulia maumivu ya kuondokewa na mpiga gitaa la solo mahiri nchini, Saidi Mabera, familia ya marehemu imeanika safari nzima ya mwisho ya mkali huyo aliyedumu na Msondo Ngoma kwa miaka 47 mfululizo.,Read More
Comments (0)