Simba yapiga mkwara mzito
BENCHI la ufundi la Simba limewapiga mkwara mzito na kuwakumbusha wachezaji wake mechi saba za Ligi Kuu msimu uliopita na kuwataka kuzikumbuka kwa jicho la pili kabla ya kushusha mguu uwanjani dhidi ya JKT Tanzania, Jumapili hii kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.,Read More
Comments (0)