Posted By Posted On

WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU, MANDALIZI MECHI YA LIGI KUU DHIDI COASTAL UNION

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga, imeendeleza tizi la nguvu hii leo ikiwa ni maandalizi mchezo wa ligi kuu dhidi Coastal Union utakaopigwa dimba la Mkapa, kesho saa moja jioni.

Hizi hapa picha mbali mbali katika mazoezi hii leo

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *