Posted By Posted On

CHELSEA YAZINDUKA, YAICHAPA CRYSTAL PALACE 4-0 STAMFORD BRIDGE


TIMU ya Chelsea imezinduka na kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, mabao ya Ben Chilwell dakika ya 50, Kurt Zouma dakika ya 66 na Jorge Luiz Frello Filho ‘Jorginho’ mawili, yote kwa penalti dakika ya 78 na 82 Uwanja wa Stamford Bridge, London
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *