Posted By Posted On

“Huwezi kukurupuka kwenda kulipa, TFF wametoa hukumu na katika hukumu walisema rufaa ipo wazi lakini kuna utaratibu ndiyo unawez…

“Huwezi kukurupuka kwenda kulipa, TFF wametoa hukumu na katika hukumu walisema rufaa ipo wazi lakini kuna utaratibu ndiyo unaweza kuchukua uamuzi wa kwenda kulipa au kukata rufaa, yaani huwezi kufanya kama walivyofanya wengine au huyo nani amefanya na mimi nifanye, ameambiwa faini leo, kesho ameenda kulipa kesho kitu ambacho ni kama unaitukana TFF.

“Lazima kwanza uonyeshe thamani ya wale watu waliokaa, wakakuhukumu, uonyeshe uzito wao, tulikuwa tunasubiri nakala ambayo wameileta Jumatatu, nimeipata barua imewasilishwa ofisini.

“Imesomwa na tumewaandikia tena kuomba hatua kwa sababu wametuandikia nakala ya hukumu kwa hiyo watupe hatua tunalipaje, tunaenda kulipa benki au inahitajika kesho kama alivyopeleka mwenzetu ila sidhani kama ni busara kutangaza tumelipa au kwenda na vyombo vya habari kurekodiwa kuwa tumelipa na wao ndiyo watakuwa na jukumu la kusema kama Hassan amelipa ile hukumu”.

Hassan Bumbuli

Hassan Bumbuli,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *