Posted By Posted On

“Msimu huu nimecheza dhidi ya Simba na Yanga, kwa upande wangu licha ya kwamba Yanga walifanikiwa kushinda, lakini naamini Simba…

“Msimu huu nimecheza dhidi ya Simba na Yanga, kwa upande wangu licha ya kwamba Yanga walifanikiwa kushinda, lakini naamini Simba wako bora zaidi hata kama hawakuweza kuibuka na ushindi.

“Lakini pia kama ningeambiwa nimtaje mshambuliaji ambaye aliisumbua sana safu yetu ya ulinzi kati ya wale wa Simba na Yanga basi Bocco alikuwa hatari zaidi kwetu kuliko hata yule Sarpong”

– Dickson Job (Beki Mtibwa Sugar)

– Dickson Job (Beki Mtibwa Sugar),

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *