Posted By Posted On

RODRIGO AISAWAZISHIA LEEDS UNITED YATOA SARE 1-1 NA MAN CTY


Rodrigo akikimb0a kushangilia baada ya kuifungia Leeds United bao la kusawazisha dakika ya 59 katika sare ya 1-1 na Manchester City iliyotangulia kwa bao la Raheem Sterling dakika ya 17 Uwanja wa Elland Road 
PICHA ZAIDI GONGA HAPA

 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *