Posted By Posted On

Uongozi wa klabu ya Yanga unapenda kuwataarifu mashabiki, wapenzi na wanachama wa Yanga pamoja na wadau Kuwa klabu imefikia maku…

Uongozi wa klabu ya Yanga unapenda kuwataarifu mashabiki, wapenzi na wanachama wa Yanga pamoja na wadau Kuwa klabu imefikia makubaliano ya na Mwalimu Zlatko Krpotic kusitisha mkata wake Mara moja

Klabu inapenda kumtakia Zlatko Krpotic kila lakheri Katika shughuli zake kwingine

Uongozi wa klabu ya Yanga unapenda kuwataarifu mashabiki, wapenzi na wanachama wa Yanga pamoja na wadau Kuwa klabu imefikia makubaliano ya na Mwalimu Zlatko Krpotic kusitisha mkata wake Mara moja

Klabu inapenda kumtakia Zlatko Krpotic kila lakheri Katika shughuli zake kwingine,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *