Posted By Posted On

CHANZO CHA YANGA KUMTIMUA KOCHA NI HIKI

Yanga jana usiku baada ya kumalizika kwa mechi yao dhidi ya Coastal Union na kushinda mabao 3-0 walitoa taarifa ya kusitisha mkataba wa kocha wao Mserbia, Zlatko Krmpotic. Chanzo makini kutoka ndani ya Yanga walilipenyezea habari Mwanaspoti mapema kabla ya taarifa rasmi kutoka kuwa kazi ya kusitishiwa mkataba kwa Zlatko imefanywa kwa ushawishi mkubwa wa mastaa wa timu hiyo waliomkataa.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *