Posted By Posted On

-Kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Wakili Patrick Simon amesema kuwa klabu ya Yanga itaweka kambi nje ya nchi kupisha kalenda …

-Kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Wakili Patrick Simon amesema kuwa klabu ya Yanga itaweka kambi nje ya nchi kupisha kalenda ya FIFA wiki ijayo na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPl) dhidi ya watani wao wa jadi Simba mchezo ambao utachezwa October 18 katika dimba la Benjamin William Mkapa wataenda nchi gani muda si mrefu watatangaza.


-Kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Wakili Patrick Simon amesema kuwa klabu ya Yanga itaweka kambi nje ya nchi kupisha kalenda ya FIFA wiki ijayo na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPl) dhidi ya watani wao wa jadi Simba mchezo ambao utachezwa October 18 katika dimba la Benjamin William Mkapa wataenda nchi gani muda si mrefu watatangaza.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *