Kolabo kali zilizomfikisha Diamond kwa Alicia Keys
HISTORIA inasema Diamond Platnumz ndiye msanii wa kwanza Tanzania kushirikishwa kwenye kolabo binafsi na msanii wa Marekani aliyewahi kuwa A LIST. Historia hiyo iliandikwa Septemba 18 baada ya mwanamuziki Alicia Keys kuachia albamu yake ambayo ndani ina wimbo aliomshirikisha Mondi.,Read More
Comments (0)