Posted By Posted On

“…Kwa asilimia kubwa Tanzania hatuna maafisa wa habari tuna wahamasishaji, watu wanaongea vitu kutoka kichwani mwao, Afisa Hab…

“…Kwa asilimia kubwa Tanzania hatuna maafisa wa habari tuna wahamasishaji, watu wanaongea vitu kutoka kichwani mwao, Afisa Habari anatakiwa kutoa taarifa zilizotolewa na taasisi, kwetu tuna hiyo changamoto, kuanzia sasa tunaandaa miongozo”.

“..Ni kweli Viwanja vingi vipo kwenye hali mbaya sana kutokana na baadhi ya shughuli ambazo zinafanyika ni za kiharibifu, tunakaribia kuingia mkataba na wamiliki tushirikiane kufanya ukarabati kwa ajili ya kutatua tatizo hilo”

Rais wa TFF, Wallace Karia akiongea na Wahariri Habari za Michezo

“…Kwa asilimia kubwa Tanzania hatuna maafisa wa habari tuna wahamasishaji, watu wanaongea vitu kutoka kichwani mwao, Afisa Habari anatakiwa kutoa taarifa zilizotolewa na taasisi, kwetu tuna hiyo changamoto, kuanzia sasa tunaandaa miongozo”.

“..Ni kweli Viwanja vingi vipo kwenye hali mbaya sana kutokana na baadhi ya shughuli ambazo zinafanyika ni za kiharibifu, tunakaribia kuingia mkataba na wamiliki tushirikiane kufanya ukarabati kwa ajili ya kutatua tatizo hilo”

Rais wa TFF, Wallace Karia akiongea na Wahariri Habari za Michezo,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *