Posted By Posted On

Mediocre ya Alikiba inazungumzia haya

KWA sasa msanii Alikiba anagonga vichwa vya habari na kuteka mazungumzo mtandaoni mara baada ya kuachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mediocre. Wimbo huu umegusa hisia za wengi, sio mashabiki wake pekee, hata wasio wake wanatoa hisia zao za ndani zaidi kwa namna walivyoelewa.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *