Posted By Posted On

“Mengi yanazungumzwa kuhusiana na wachezaji wetu Chama na Kagere, ukweli ni kwamba hivi sasa uongozi upo kwenye mazungumzo ya mw…

“Mengi yanazungumzwa kuhusiana na wachezaji wetu Chama na Kagere, ukweli ni kwamba hivi sasa uongozi upo kwenye mazungumzo ya mwisho na mameneja wa wachezaji wetu hao kwa ajili ya kuwaongezea mikataba.

“Kikubwa zaidi hao wachezaji wenyewe wameonyesha nia kubwa ya kuendelea kubakia kuendelea kuichezea Simba katika misimu mingine inayofuatia”

– Haji Manara, (Ofisa Habari Simba)

“Mengi yanazungumzwa kuhusiana na wachezaji wetu Chama na Kagere, ukweli ni kwamba hivi sasa uongozi upo kwenye mazungumzo ya mwisho na mameneja wa wachezaji wetu hao kwa ajili ya kuwaongezea mikataba.

“Kikubwa zaidi hao wachezaji wenyewe wameonyesha nia kubwa ya kuendelea kubakia kuendelea kuichezea Simba katika misimu mingine inayofuatia”

– Haji Manara, (Ofisa Habari Simba),

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *