Posted By Posted On

Mtunisia Simba akabidhiwa mastaa 13

KIKOSI cha bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba jioni ya leo Oktoba 4, 2020 kitakuwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma kutafuta pointi tatu dhidi ya wenyeji wao JKT Tanzania, huku kocha wa viungo wa timu hiyo akikabidhiwa mastaa 13 ili kuwaweka fiti kabla ya kuvaana na watani wao, Yanga Oktoba 18.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *