Posted By Posted On

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya wachezaji ya Shirikisho la soka nchini TFF Elias Mwanjala amethibitisha kuwa Oktoba 1…

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya wachezaji ya Shirikisho la soka nchini TFF Elias Mwanjala amethibitisha kuwa Oktoba 12 Kamati hiyo itakutana na kujadili Suala la Mkataba wa nyota wa Ghana Bernard Morrison na Simba, lililoibuliwa na klabu ya Yanga.

Klabu ya Yanga imewasilisha malalamiko katika Kamati hiyo ikidai kuwa mkataba huo sio halali kwa kuwa una mapungufu kadhaa muhimu ya kisheria, na imetaka utangazwe kuwa ni batili.

Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi ya wachezaji ya Shirikisho la soka nchini TFF Elias Mwanjala amethibitisha kuwa Oktoba 12 Kamati hiyo itakutana na kujadili Suala la Mkataba wa nyota wa Ghana Bernard Morrison na Simba, lililoibuliwa na klabu ya Yanga.

Klabu ya Yanga imewasilisha malalamiko katika Kamati hiyo ikidai kuwa mkataba huo sio halali kwa kuwa una mapungufu kadhaa muhimu ya kisheria, na imetaka utangazwe kuwa ni batili.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *