Posted By Posted On

Ndemla apate mtetezi Stars

WAKATI wadau mbalimbali wakiendelea kujadili uteuzi wa baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars akiwamo Said Ndemla, aliyekuwa kocha wa Simba Abdallah ‘King’ Kibadeni, amepongeza kitendo cha Kocha Etienne Ndayiragije kumjumuisha kiungo huyo katika kikosi kitakachowavaa Burundi.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *