Posted By Posted On

NICOLAS PEPE NA BUKAYO SAKA WAFUNGIA ARSENAL YASHINDA 2-1


Nahodha Pierre-Emerick Aubameyang akimpongeza Nicolas Pepe baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 64, kufuatia Bukayo Saka kufunga la kwanza dakika ya 62 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sheffield United ambayo bao lake lilifungwa na David McGoldrick dakika ya 83 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London leo
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *