Posted By Posted On

Photos from VIWANJANI LEO’s post

KUNDI LA SIMBA JAMII LIMEANZISHA OPERESHENI YA “SISI WATANI WAJADI NA SIO WAPINZANI WA JADI”.

Kundi hilo maarufu la washabiki wa Simba limesafiri toka Dar mpaka Dodoma na mwanachama wa Yanga Mlandizi Bwana Biggie na kushow love.

Kundi linawaasa wana Simba kuacha kulipa kisasi na kujenga utamaduni wa kuenzi utani wa jadi tu.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *