Posted By Posted On

Rais wa TFF, Wallace Karia amesema uamuzi wa kupunguza idadi ya timu katika ligi kuu soka Tanzania bara, ulitokana na maoni ya w…

Rais wa TFF, Wallace Karia amesema uamuzi wa kupunguza idadi ya timu katika ligi kuu soka Tanzania bara, ulitokana na maoni ya wadhamini na wadau wakiwemo waandishi wa habari, lengo likiwa ni kuongeza ubora wa mashindano. Msimu huu zimeshiriki timu 18 na msimu ujao zitakuwa 16.


Rais wa TFF, Wallace Karia amesema uamuzi wa kupunguza idadi ya timu katika ligi kuu soka Tanzania bara, ulitokana na maoni ya wadhamini na wadau wakiwemo waandishi wa habari, lengo likiwa ni kuongeza ubora wa mashindano. Msimu huu zimeshiriki timu 18 na msimu ujao zitakuwa 16.,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *