Posted By Posted On

VINICIUS NA BENZEMA WAFUNGIA REAL MADRID YAICHAPA LEVANTE 2-0


Vinicius Junior akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 16 kabla ya Karim Benzema kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Levante kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa 
Ceramica leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *