Posted By Posted On

WATKINS APIGA HAT TRICK ASTON VILLA YAWACHAPA LIVERPOOL 7-2


MSHAMBULIAJI Ollie Watkins akishangilia baada ya kupiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika ya nne, 22 na 39 katika ushindi wa 7-2 wa Aston Villa dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumapili Uwanja wa Villa Park. Mabao mengine ya Aston Villa yamefungwa na John McGinn dakika ya 35, Ross  Barkley dakika ya 55 na Jack  Grealish dakika ya 66 na 75, wakati ya Liverpool yote yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 33 na 60 
PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *