Posted By Posted On

ZLATKO SIKU 37 YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Uongozi wa Yanga SC licha ya kupata ushindi wa magoli 3-0 leo dhidi ya Coastal Union wametangaza kumfuta kazi kocha wao mkuu Zlatko Krmpotic raia wa Serbia.

Zlatko huwa hadumu na timu
πŸ‡ΉπŸ‡ΏYanga SC siku 37
πŸ‡ΏπŸ‡¦Polokwane siku 113
πŸ‡·πŸ‡Ό APR siku 159
πŸ‡§πŸ‡Ό Jwaneng Galaxy Siku 189
πŸ‡ΏπŸ‡² Zesco siku 165

Zlatko hadi anatumuliwa Yanga SC alikuwa kaiongoza timu hiyo katika michezo 5 na ameshinda mechi nne na sare moja, sare mchezo mmoja, lakini leo ndio ushindi wake mnono wa kwanza wa zaidi ya goli.

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *