Posted By Posted On

Azam, Yanga Na Simba Zatoa Onyo VPL

Wiki ya vipigo ligi kuu Tanzania Bara imeendelea katika raundi ya tano kwa mara ya kwanza Yanga, Simba na Azam wakizalisha magoli 11. Yanga Wananchi wamecheza Jumamosi na kwa mara ya kwanza wamemchapa Coastal Union magoli 3-0, Metacha Mnata akiibuka na ‘Clean Sheets’ yake ya nne. Baada ya hapo wamefanya sherehe ya kumfukuza kocha wao Zlatko Krmpotić hili walilijua kati ya viongozi na kocha…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *