Posted By Posted On

COUTINHO AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE 1-1 NA SEVILLA CAMP NOU


Philippe Coutinho (kushoto) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 10 katika sare ya 1-1 na Sevilla iliyotangulia kwa bao la Luuk de Jong dakika ya nane Uwanja wa Camp Nou, Barcelona jana kwenye mchezo wa La Liga
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *